Jan 31, 2014

HATIMAE VIONGOZI WA JUMUIYA YA UAMSHO WAPATA DHAMANA

Hatimae Mahakama ya Mkoa Vuga imetoa thamana na masharti matano makali wa watuhumiwa kumi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu Zanzibar (JUMIKI) sharti moja ni kuwasilisha fedha taslim millioni 25 na masharti mengine manne. mengine baadae inshallah
Dhamana ya Viongozi 10 wa Uamsho imetolewa na Mahkama ya Mkowa Vuga ikiwa na masharti mazito. Baadhi ya masharti hayo ni: Milioni 25 kila mmoja, Wadhamini 3 wafanyakazi wa Serekali, Barua ya Sheha, Wasufanye mihadhara na wasitoe mawaudha, Wasitoke nje ya Unguja.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA