Tulimalizia show mkoani Mtwara,show ambayo
watu walikuwa na mzuka saaaana
nitoe shukrani za dhati kabisa kwa wananchi waliojitokeza
kwa wingi kushuhudia burudani waliyoikosa kwa mlefu
toka kwangu na team yangu nzima ya WCB,ni show
iliyokuwa maalum kabisa kuukaribisha mwaka
mpya na kuhamasisha swala zima la amani...!!!!
Moze Iyobo
BAADA YA 6:00 WALIUKARIBISHA RASMI MWAKA MPYA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA