Jan 2, 2014

Madee ampa zawadi ya gari meneja wake "Babu Tale siku ya birthday yake

IMG-20140102-WA0009

Meneja kutoka Kundi la Tip Top Conection lenye maskani yake pale Manzese Tip Top Babu Tale usiku wa kuamkia tarehe 1 alikua akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa,katika vitu ambavyo havikutegemewa kuwepo ni zawadi ya Madee anbayo iliwashangaza watu wengi.
  IMG-20140102-WA0005  

Star wa huyu wa singo mpya ya tema mate tuwachape  aliamua kumzawadia gari mpya Meneja wake wa muda mrefu gari aina ya BB NEW MODEL,kwenye sherehe hizo 

Pia zilihudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Amini,Ditto,Keisha,meneja wa kundi la Tmk Wanaume Family Said Fela na watu wengine wengi. Hizi ni picha mbalimbali kwenye birthday hiyo.
 IMG-20140102-WA0016 

 IMG-20140102-WA0013 

IMG-20140102-WA0011  

IMG-20140102-WA0006  

IMG-20140102-WA0003  

 IMG-20140102-WA0008 

 IMG-20140102-WA0002 

IMG-20140102-WA0000  

 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA