MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wilaya ya
Temeke na Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Joseph Yona (33),
aliyepigwa na watu wasiojulikana kisha kutupwa kwenye eneo la Ununio
Kawe jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo, ametolewa wodini katika
Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuhamishiwa katika Kitengo cha Mifupa
Muhimbili (MOI).
chanzo na global
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA