Jan 7, 2014

BREAKING NEWS: ZITTO KABWE ASHINDA HUKUMU YA KESI YAKE

HATIMAE MBUNGE WA KIGOMA KASIKAZINI MH: ZITTO KABWE ASHINDA KESI YAKE ALIYOIFUNGUA DHIDI YA CHAMA CHAKE CHA CHADEMA Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini,Mh. Zitto Z. Kabwe pamoja na Mwanasheria wake,Albert Msando (kulia) wakiwasili katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam leo huku wakiongozana na wafuasi wanaopinga kuvuliwa uongozi wake,tayari kwa kwenda kusikiliza kesi yake aliyoifungua dhidi ya Chama Chake cha CHADEMA inayosikilizwa leo Mahakama Kuu

HAPA ILIKUWA KABLA YA KESI YAKE KUSIKILIZWA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA