Feb 13, 2014

BREAKING NEWZ OKWI RUKSA KUCHEZA YANGA
Taarifa zilizopatikana hivi punde zinasema FIFA imebaliki taratibu za uhamisho wa mshambuliaji Emmanuel Okwi kutoka SC Villa kujiunga na Yanga.


Taarifa kutoka ndani ya shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini TFF zinasema FIFA imemruhusu mchezaji huyo kuendelea kucheza, nakuhusu suala la deni la Simba shirikisho hilo limesema bado linalifanyia kazi. 
 
HABARI KWA NIABA YA http://www.shaffihdauda.com

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA