
Ajali mbaya imetokea usiku wa wa wakuamikia leo karibu na Morogoro ikihusisha magari sita kuna watu waliojeruhiwa ila hakuna taarifa ya kifo


Wasamalia wema wakiwa wamefika kutoa msaada

Hizi ndio nyanya zilivyotapakaa eneo la ajari


Moja ya magari likiwa limeharibika vibaya
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA