May 9, 2014

ANGALIA BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI ENEO LA WAMIAjali imetokea mida ya saa nne karibu na wami kutokea dar es salaam.. gari ni kampuni ya dar express iliyokua ikielekea nairobi.. Abiria wengi wamenusurika kutoka ila kuna majeruhi wachache ambao haijalikana bado kama kuna aliyekufa.

kwa habari zaidi soma hapa

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA