Mar 19, 2012

VINEGA WOTE NA SWAHILI ORIGINAL IKO BEGA KWA BEGA NA MAPACHA


21 /03/2012 saa 7 mchana!!pale mahakama ya kiisutu…!magenge ya mwenge na vinega wote tutakuwa pale kusililiza keshi ya vinega…!uskose ukiwa kinega,unahaki ya kusikiliza kesi hii…!simamia haki na yote yatajitenga…!SHARE THIS TO BONGO FLEVA FANS,WAAMBIA MAPACHA WAMESHTAKIWA NA KUSAGA,KWA KESI YA MADAI.
Tuko pamoja na mapacha katika hali zote za raha na shida.
chanzo na swahilioriginaltz

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA