TAMKO LA SUGU KUHUSU KUSHTAKIWA KWA MAPACHA
TAARIFA YA MASIKITIKO:WALIKUJA NA
KUOMBA MUAFAKA NASI TUKAKUBALI KWA AJILI YA AMANI NA MAENDELEO YA
SANAA,NAMI KAMA KINEGA MWANDAMIZI NA PIA KIONGOZI(MBUNGE) NIKACHUKUA
MAAMUZI MAGUMU YALIYOLETA MACHUNGU YA LAWAMA TOKA KWA MASHABIKI WETU
AMBAO KIMSINGI NILIWAELEWA AND I TOOK EVERYTHING AS A MAN…BADO NASIMAMIA
KUWA CHOCHOTE NILICHOFANYA NILIAMINI KUWA NILIKUWA NAFANYA KITU
POSITIVE,LAKINI KUMBE WENZETU HAWAKUWA NA NIA NJEMA WALA DHAMIRA YA
KWELI YA KUTAKA MUAFAKA BALI WALIKUWA NA AJENDA ZAO ZINGINE,MAANA MPAKA
LEO HII HAKUNA HATA MOJA WALILOTEKELEZA KUTOKANA NA ULE MUAFAKA,NA ZAIDI
MARA WANAKUJA NA HILI LINGINE LA KUWASHTAKI MAPACHA NA HUKU NI WAO
WALIOSEMA TUNAANZA ‘MWANZO MPYA’…AMBAPO MIMI NILISEMA HAKUNA VITA
ISIYOKUWA NA MALENGO NA NILIAMINI KWA DHATI MALENGO YETU SASA YALIKUWA
YAMETIMIA…SASA WAO WANAPOJARIBU TENA KUVURUGA UTEKELEZAJI WA MALENGO
BASI HAKIKA MALENGO YANAKUWA HAYAJATIMIA NA MAPAMBANO ‘INALAZIMIKA’
YAENDELEE…
SUUGU- JOSEPH MBILINYI
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA