Dec 18, 2015

MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA 2015

  


 Jumla ya wanafunzi 503,914 kati ya 518,034 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi,wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza,katika shule za sekondari za serikali katika awamu ya kwanza.Idadi hiyo ni sawa na asilimia 97.3 ya wanafunzi waliofaulu na wenye sifa ya kujiunga na kidato cha kwanza0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA