Apr 26, 2012

BAYERN MUNICH YAIFUATA CHELSEA FAINALI

JANA USIKU TIMU YA BAYERN MUNICH ILIZIDI KUIONESHA DUNIA KUWA WAO NI ZAIDI YA REAL MADRID BAADA YA KUITOA KATIKA HATUA  YA NUSU FAINAL BAYAERN IMEFANIKIWA KUITOA MADRID BAADA YA KUIFUNGA KWA PENATI.

KWANI KATIKA MUDA WA KAWIDA REAL MADRID ILIONGOZA KWA  2-1 NA HIVYO KUFANYA KUWA 2-2 KUTOKANA NA MUNICH KUONGOZA KATIKA MECHI YA KWANZA  HALI HIYO ILISABABISHA MCHEZO KWENDA HADI DAKIKA 120 NA MATOKEO KUBAKI HIVYO HIVYO 2-2 HALI ILIYOPELEKEWA KUPIGWA KWA PENATI.

KATIKA HATUA YA PENATI MUNICH WALISHINDA 3-1 NA HIVYO KUSONGA MBELE KATIKA HATUA YA FAINALI SASA MUNICH ITACHEZA FAINALI NA CHELSEA




WACHEZAJI WA BAYERN MUNICH WAKISHANGILIA  BAADA YA KUINGIA FAINALI


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA