Bacerona out
Barcelona 2 Chelsea 2
Chelsea win 3-2 on aggregate

Fernando Torres akishangilia baada ya kufunga goli la pili


Wachezaji wa chelsea wakiwa wamemzonga refa asitoe kadi nyekundu kwa Terry hata napo bado refa alimpa tu.


RAM RAID Ramires mfungaji wa goli la kwanza la chelsea akijiandaa kupiga mpira.


Wachezaji wa chelsea wakishangilia baada ya Torees kuipatia timu yake goli la pili
STAR MAN — RAMIRES (CHELSEA)
vikosi vilikuwa kama ifuatavyo
BARCELONA: Valdes 6, Puyol 6, Pique 5 (Alves 5), Xavi 7, Mascherano 6,
Busquets 8, Iniesta 8, Cuenca 6 (Tello 5), Fabregas 6 (Keita 5), Messi 7,
Sanchez 8. Subs not used: Pinto, Thiago, Keita, Pedro, Adriano.
CHELSEA: Cech 8, Ivanovic 7, Cahill 5 (Bosingwa 6), Terry 3, Cole 8,
Mikel 6, Meireles 7, Mata 6 (Kalou 6), Lampard 8, Ramires 9, Drogba 8
(Torres 7). Subs Not Used: Turnbull, Essien, Malouda, Sturridge. Sent Off:
Terry. Booked: Mikel, Ramires, Ivanovic, Cech, Lampard, Meireles.
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA