Apr 30, 2012

SIMBA YAFANYA MAUAJI JIJINI

Jana timu ya Simba ilizidi kuonesha ubabe wake dhidi ya timu za kaskazini baada ya kuibuka na Al ahly Shinde fc goli  3-0 hata napo timu ya Al Ahly shinde itabidi ijilamu yenyewe kwa kitendo chao cha kupoteza muda mwingi kwa kujiangusha na hata kipindi cha mipira ya kurusha hali iliyopekea timu ya simba kuibuka kidedea 
                                  mashabiki  wa simba wakiwa wamedhidiwa na furaha baada ya timu yao kuibuka kidedea
     Muuaji wa simba akishangilia jana ni Emanuel  OkwiHII ndio simba bana hakuna kulemba nguvu moja


MASHABIKI NAO WAKIWA NA FURAHA KUBWA BAADA YA TIMU YAO KUFANYA KAZI NZURI UWANJANI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA