TIMU YA BONDE FC YA MWANANYAMALA LEO
ITASHUKA DIMBANI KATIKA UWANJA WA MWALIMU NYERERE MAGOMENI KATIKA
MICHUANO YA COPA COCA COLA NGAZI YA WILAYA.
ITAKUWA IKIMENYANA NA TIMU YA RASCO KID'S KATI MCHEZO WA MZUNGOKO WA PILI WA MICHUANO YA COPA COCA COLA.
RASCO TAYARI IMEPOTEZA MCHEZO MMOJA HII NDIO SABABU ITAFANYA MCHEZO UTAKUWA WA KUVUTIA SANA UKICHUKULIA TIMU ZOTE HIZI ZINAUPINZANI WA JADI KUTOKANA ZOTE MBILI KUTOKEA ENEO MOJA .
ITAKUWA IKIMENYANA NA TIMU YA RASCO KID'S KATI MCHEZO WA MZUNGOKO WA PILI WA MICHUANO YA COPA COCA COLA.
RASCO TAYARI IMEPOTEZA MCHEZO MMOJA HII NDIO SABABU ITAFANYA MCHEZO UTAKUWA WA KUVUTIA SANA UKICHUKULIA TIMU ZOTE HIZI ZINAUPINZANI WA JADI KUTOKANA ZOTE MBILI KUTOKEA ENEO MOJA .
HII INAKUWA NI MECHI YA PILI KWA BONDE FC BAADA YA MECHI YA KWANZA KUIBUKA NA USHINDI MNONO WA GOLI 4-0 DHIDI YA TIGER KIDS YA MAGOMENI.
AMBAYO BAADA YA KIPIGO HICHO ILIGOMA KUINGIA UWANJANI KIPINDI CHA PILI NA KILA MCHEZAJI ALIVUA JEZI MUDA WA MAPUMZIKO NA KUONDOKA.
KUTOKANA NA KITENDO HICHO REFA WA MCHEZO HUO ILIMLAZIMU KUSUBIRI KWA DAKIKA 15 KISHA AKAMALIZA MPIRA NA BONDE FC KUPEWA USHINDI.
KATIKA MCHEZO WA LOE TIMU YA BONDE FC INATARAJIA KUIBUKA PIA NA USHINDI MNONO KUTOKANA NA MAANDALIZI WALIYO FANYA.
AKIONGEA NA CHUMBA CHA HABARI KOCHA MKUU WA TIMU YA BONDE FC NDUGU ISSA JOSEPH ALISEMA TIMU YAKE IKO KATIKA HARI NZURI NA WACHEZAJI WOTE WANA HARI NA MCHEZO HIVYO MASHABIKI WA BONDE FC WATEGEMEE USHINDI WA NGUVU KUTOKA KWA VIJANA WAKE.
NAE NAHODHA BONDE FC ALLY MABROUCK AMESEMA LEO WATU WATARAJIE KUSHUHUDIA KILE KILICHO IKUTA TIMU YA TIGER KIDS KWANI KATIKA KUNDI LAO HAWAJAONA TIMU YA KUWEZA KUWAZUIA WAO.
BONDE FC IKO KUNDI B LENYE TIMU ZA
- BONDE FC
- VILLA SQUAD
- RASCO KID'S
- A.F.C TANGANYIKA
- TIGER KID'S
- POLISI MAGOMENI
- KISA ACADEM
KIKOSI CHA BONDE FC KINACHOTINGISHA COPA COCA COLA PICHA KWA HISANI YA MAKTABA
MAKOCHA WA BONDE FC WAKIWA KAZINI PICHA KWA HISANI YA MAKTABA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA