May 1, 2012

MAN U HOIIII KWA CITY YAFA 1-0


AKISHANGILIA BAADA YA KUIFUNGIA TIMU YAKE GOLI LA KUONGOZA 


HAPITI MTU HAPA  NENDA WEWE MPIRA UBAKI WANAUME WAKIMINYANA


KAZI ILIKUWEPO NIPISHENI NIPITE 


MABANGO PIA HAYAKUWA NYUMA KATIKA KUENDELEZA KUONYESHA UMUHIMU WA MECHI HIYO