May 31, 2012

TETESI ZA USAJIRI ULAYA

Dirk Kuyt kuendelea kubaki katika klabu yake ya sasa Liverpool licha ya klabu nyingi barani Ulaya kuonesha nia ya kumtaka 

Dirk Kuyt mwenyewe amesema atasaini tena mkataba baada ya kumalizika michuano ya Ulaya

Hata napo amesema atasaini tena ikiwa atakuwa na uhakika wa kuwepo katika kikosi cha kwanza 

Kop favourite: Fans wave flag in support of Dirk Kuyt of Liverpool  Mashabiki wa Liverpool wakimsapoti DIRK KUYT 

Goodbye: Kuyt looks to have played his last game for Liverpool DIRK KUYT alikuwa kama anawahaga mashabiki wa Liverpool katika mechi ya mwisho

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA