May 31, 2012

Lucas Leiva kulejea Liverpool

Lucas Leiva ameiambia leo tv ya Brazili yuko katika hatua za mwisho za matibabu yake kabla ya kulejea  katika klabu yake ya Liverpool kwa msimu huu .
Na kwa sasa yuko katika mazoezi mapesi kabla ya kurejea katika uwanja rasmi msimu huu.

Lucas Leiva amekuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi sita toka alipofanyiwa upasuajina sasa amebakiza mwezi mmoja tu kuwa fiti kabaisa na muda huu atarudi kwa kishindo katika kuisadia timu yake ambae ishindwa kuingia hata kwenye big four mwaka huu

Picture of  Lucas 
Lucas Leiva

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA