Oct 17, 2012

Breaking newzz Hali si shwari Zanzibar

Hali ya Zanzibar kwa muda huu inaonekana sio nzuri kutokana waumini wa dini ya kiislam na wafuasi wa Jumuiya za Kiislam (MUHAMSHO) kuandamana kuelekea makaoo makuu ya jeshi la polisi.

Hali hii inatokana na habari kuwa kiongozi mmoja wa jumuiya kutoweka toka jana na haijulikani wapi halipo ila wafuasi wa MUHAMSHO  wanaamini kuwa ametekwa na jeshi la polisi.

HALI HII IMESABABISHA VURUGU KUBWA KUFANYIKA MAENEO YA DARAJANI NA MAENEO MENGINE PIA MADUKA NA BIASHARA MBALIMBALI ZIMEFUNGWA KWA SASA.

                     Watu wakiwa wanashanga mabaki ya jengo la Maskani ya ccm ya Kisonge yachomwa moto
    Maskani ya ccm ya Kisonge yachomwa moto mchana huu.
              Watu wakiwa wanaendelea na vurugu kataika mitaa
                                       Hali ilivyo Zanzibar muda huu

WAFUASI WA MUHAMSHO WANATAKA KIONGOZI WAO ALIYEPOTEA NA WAO WANASEMA POLISI ITAKUWA IMEMTEKA AHACHIWE LA SIVYO HALI HII ITAENDELEA
KIONGOZI ALIYETEKWA NI SHEKHE FARIDI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA