Oct 13, 2012

LIGI KUU KUENDELEA TENA LEO

Ligi kuu ya soka Tanzania kuendelea tena leo kwa michezo kadhaa kuchezwa katika viwanja mbalimbali mechi ambayo leo inategemewa kuvuta hisia nyingi za mashabiki ni ile kati ya Simba na Coast Union itakayo chezwa mkoani Tanga kati uwanja wa Mkwakwani.

kwani kila timu inatamba kuwa inategemea kuondoka na ushindi katika mchezo wa leo ili kuendelea kujiweka katika nafasi nzuri zaidi 

Mechi zingine za leo ni kama ifuatavyo 

Polisi moro v Azam fc
 Itachezwa  katika uwanja wa Jamhuri Morogoro 4: 00 PM

Prison v Oljoro
Itachezwa uwanja wa Sokoine Mbeya 4:00 PM

Coast v Simba 
Itachezwa katika uwanja wa Mkwakwani Tanga 4:00 PM

Ruvu Shooting v Mgambo 
Itachezwa katika uwanja wa Mabatini Pwani 4:00 PM

Mtibwa v A. Lyon 
Itachezwa katika uwanja wa Manungu Tuliani


0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA