Mshindi wa Taji la Redd's Miss Dar Indian Ocean 2012, Diana, akimkabidhi taji hilo mshindi wa mwaka huu, Lucy Tomeka.
Tatu Bora walikuwa ni: Linda Joseph, Lucy Tomeka na Sophia Yusuf wakiwa katika picha ya pamoja.
Hawa ndio waliongia tano bora
Warembo wakionyesha show jukwani
Majaji wa shindano hilo, Mboni Masimba, Martin Kadinda, Vivian na Sebo wakiwafuatilia washiriki (hawapo pichaniWAREMBO 15 jana walipanda jukwaani katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa, Posta, jijini Dar kuwania Taji la Miss Dar Indian Ocean na bahati ikamuangukia Lucy Tomeka aliyeibuka kidedea kwa kutwaa taji hilo.
HABARI NA PICHA KWA HISANI YA http://www.globalpublishers.info/
Dar Es Salaam Time
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA