May 1, 2013

Diwani wa CUF ahusishwa na vurugu Liwale


 WATUHUMIWA WENGINE WA VURUGU HIZO WAKIWA  MAHAKANI
 ULINZI ULIKUWA ULIIMALISHWA SANA ILI KUSTOKEE VURUGU MAHAKANI
 DIWANI WA CUF AKIINGIA MAHAKANI
  Diwani wa CUF (aliyevaa tisheti nyekundu) ni kati ya watuhumiwa waliopandishwa kizimbani juzi 29.04.2013. Yeye alisomewa mashtaka ya uchochezi. 

ATI kwamba kwenye mkutano wa CUF wa tarehe 17.04 alitamka kwamba CUF itachukua hatua ikiwa pesa hazitalipwa. Eti huo ndo uchochezi. Diwani alidhaminiwa na anasema mapambano yanaendelea.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA