YANGA WAKISHANGILIAAAA KWA NGUVU
HII NDIO HALI ILIVYO TAIFA LEO KABLA YA MECHI
YANGA WAKISHANGILIA KWA NGUVU ZOTE KABLA YA MECHI
BENDI YA YANGA IKIWATUMBUIZA MASHABIKI KABLA YA MECHI
HIVI YANGA NANI KAWAAMBIA KUWA WATASHINDA LEO
MASHABIKI WANAPOANZA KUTAMBIANA HAPA
YANGA HAOOOOOOO
HATA KILOBA LEO KIMEGEUKA NI VAZI
MASHABIKI WA YANGA WAKIWA NA MFANO WA KOMBE LA UBINGWA
MASHABIKI WA YANGA WAKISHANGILIA KABLA YA MECHI MASHABIKI WA YANGA WAKIWA WANAINGIA UWANJANI
MASHABIKI WA SHANGA WAKIINGIA KWA SHANGWE ZAO
WENYE BODA BODA NAO WALIKUWA WANAKUJA KUSHUSHA TU WATU
MASHABIKI WA SIMBA WAKISHANGILIA MBELE YA KAMERA YA SUPER SPORT
YAANI NI KUSHANGILIA KWA KWENDA MBELE TU
MASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAKIINGIA KWA BWEBWE ZA AINA YAKE
WASHABIKI WA TIMU YA SIMBA WAKIMIMINIKA UWANJA WA TAIFA MCHANA HUU