Jul 8, 2013

KAMA ULIKUWA HUJAONA OICHA ZA HARUSI YA DIDA


maharusi na wazazi wao


Bi Hindu  nae alikuwepo siku hiyo


Bwana harusi akisubili kuozeshwa hapa


BI HARUSI AKISAIN CHETI CHA NDOA


BWANA HARUSI NAE AKISAINI CHETI CHA NDOA


DUA BAADA YA KUOA


KAMA HUJAOA HAPA HAPAKUFAHI KABISA NI MUDA WA KOMBE (SOLO)


BWANA NA BIBI HARUSI EZDEN NA DIDA
MAHARU WOTE PIA NI WAFANYAKAZI WA KITUO CHA TIMES 100.5 FM

TUNAWAPO HONGERA KWA KUWEZA KUFUNGA NDOA KWANI KWA KUFANYA HIVYO WAMEFANYA NUSU YA DINI .

PICHA KWA HISANI YA http://irenemwamfupejamii.blogspot.com PIA KWA PICHA ZAIDI WAWEZA TEMBELEA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA