Dec 18, 2013

BREAKING NEWS: Kivuko kikubwa cha Mv. Magogoni injini zake zimezima kikiwa katika kati ya maji


 

BREAKING NEWS: Kivuko kikubwa cha Mv. Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi.

Abiria tayari wamevaa maboya lakini hali ya wasiwasi imetanda.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA