Jan 10, 2014

MOTO MKUBWA WAUNGUZA JENGO LA RK BARABARA YA NYERERE DAR

                         


Jengo la RK lililokaribu na eneo la Jet katika Barabara ya Nyerere karibu na sheli ya Victoria linaendelea kuwaka moto mkubwa chana huu ambao umefika katika eneo la ghala la kuhifadhia madawa.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam wapo eneo la tukio ambako hali bado si shwari.

Sehemu iliyoathirika zaidi  ni ghala la kutunzia dawa za binadamu la kampuni ya Philips

PICHA NA HABARI NA GLOBAL PUBLISHERS

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA