Mar 26, 2012

SIMBA YAFANYA MAUHAJI JIJINI


Mashabiki wa Es Satif  wakishangilia kabla ya timu ya Simba haijakata ngebe zao na kuwanyamazisha kabisa kipindi cha pili jana simba ilionyesha mchezo mzuri sana jana 
 katika siku ambazo mashabiki wa simba walikuja kuisapoti timu yao kwa wingi basi jana ilikuwa ni funika bovu maana ilibaki kidogo kujza uwanja .
 sehemu ya umati uliofika taifa jana kuishangilia simba 
 KAMA KAWA TANGAZO LA KUHAMASISHA UTULIVU NA UTUNZAJI WA UWANJA NA VITU VYAKE LILIKUWA LINATOKEA KILA KIPINDI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA