Mar 16, 2012

TAMKO LA VINEGA JUU YA KUSHTAKIWA KWA MAPACHA

March 15, 2012 in 

TAARIFA: KWA WATANZANIA WOTE AMBAO HAMKUWA MKIWAJUA WAFU FM NA KUJIULIZA KWA NINI MIAKA YOTE TUNAPIGANA NAO………HAO NDIO WAFU FM WALIOTOA TANGAZO KWENYE GAZETI LA MWANANCHI LA TAREHE 13-03-2012 UKURASA WA 8…..AMBAPO KUSAGA ANAWASHITAKI MAPACHA KWENYE KESI YA MADAI AMBAYO KILA MMOJA WETU ANASHANGAA KWANI WAO NDIO WAKUSHTAKIWA…….KIFUPI AJIANDAE NA MIXTAPE VOL 3 SOON INATOKA NA HIYO TAREHE 21 YA MAHAKAMANI NDIO WATAHUSUDU HIZI HARAKATI,HAKUNA MTU WA KUMUOGOPA…..HAKI INADAIWA NA IKISHINDIKANA INAPIGANIWA……TUNACHOFANYA HAPA NI KUIPIGANIA HAKI
WAMEUTANGAZIA UMMA WA WATANZANIA KUWA VITA IMEISHA NA KURIPOTI KWA MBWEMBWE NYINGI TUKIO BADALA YA HABARI YA MSINGI…..SASA VITA NDIO INAANZA NA WATAHUSUDU WAKAE TAYARI KUJISIKIA WAKIFANYA UFISADI NA MAKAMPUNI YOTE YA WAFANYABIASHARA(MAMENEJA MASOKO) NA WALIPOKUWA WAKIKUTANA KULE MOMBASA NA KWINGINEKO………KIMENUKA!!!!!!
HATUOGOPI NA HATUJAWAHI KUOGOPA!
MITAA INAELEWA KUWA WAFU FM……………**A TU!
ANTI VIRUS WITH NO APOLOGY!!!!!!!

shabanishakeel.blogspot.com

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA