May 22, 2012

MADRID CHELSEA ZAMTAKA LUKA MODRIC

Timu ya Real Madrid imesema macho yao yako kwa Luka Modric na wako tayari kubadilishana na Mfaransa Lassana Diarra na pesa kiasi cha paund million 22 Diarra ambae sasa ni muda mrefu amekuwa hayuko katika kikossi cha kwanza cha kocha Jose.

 

Hata napo Chelsea nao wanaonesha nia ya kumtaka Luka Modric tajiri wa Chelsea Roman Abromovich  amesema baada ya kutimiza ndoto yake ya kuchukua ubingwa wa club bingwa Ulaya sasa wanataka kutengeneza kikosi chao na kuwa imara msimu ujao na miongoni wa wachezaji wanaowataka ni pamoja na  Hazard na  Falcao

Wakati Chelsea wakijianda na usajili mshambuliaji wa timu hiyo Didie Drogba amesema kama hata pata mkataba wa miaka miwili basi atakenda kucheza soka nnchini China .

Swali lililobakia kwa chelsea ni kama itabaki na kocha wake wa sasa Di Matteo maana kocha huyu sio chaguo la kwanza la bodi ya Chelsea na chaguo lao lilikuwa kwa na hata kwa tajiri wao lilikuwa ni Pep Guardiola hata napo Pep Guardiola amesema anayaheshimu maamuzi yake ya kupumzika mwaka mmoja na si pesa wala nini kinachoweza badilisha maamuzi yake 
At last! Abramovich gets his hands on the European Cup - and now he's ready to spend 
Didie Drogba akiwa ameshikilia kombe la klab bingwa Ulaya

Eden Hazard in action for Lille  
Lille's Hazard chaguo la Chelsea
 Roberto Di Matteo lifts the Champions League trophy

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA