May 21, 2012

Twiga yapoteza mchezo dhidi ya Banyana Banyana

http://www.tzaffairs.org/wp-content/uploads/2010/09/Twiga-5.jpg
Twiga stars jana ilishindwa kutumia vizuri uwanja wake wa nyumbani baada ya kukubali kipigo cha goli 5-2 dhidi ya timu ya wanawake wenzao wa kutoka Afrika Kusini. 

Hii inakuwa ni mechi ya nne imeshapoteza michezo mingine dhidi ya Bongo Movies, Wabunge na timu ya wanawake toka Zimbabwe.

Na hii ikiwa ni katika michezo ya kujipima nguvu kujiandaa na mchezo dhidi ya Waethiopia katika michuano ya kuwania tiketi ya kushiriki michuano ya Afrika itakayofanyika Africa kusini.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA