TIMU YA SIMBA YA DAR ES SALAAM LEO IMEDHIHILISHA KWAMBA MWAKA HUU NI MOTO WA KUOTEA MBALI BAADA YA KUWAFUNGA WATANI ZAO WA JADI YANGA JUMLA GOLI 5-0 ILIKUWA NI DAKIKA YA KWANZA NA SEKUNDE 18 SIMBA ILIPOPATA GOLI LA KUONGOZA MFUNGAJI AKIWA EMENUEL OKWI
OKWI MFUNGAJI WA GOLI LA KWANZA KWA UPANDE WA SIMBA
MASHABIKI WENGI LEO WALIONEKANA KUMCHUKIA SANA MCHEZAJI WAO NURDINI BAKARY HUKU WAKIMSHUMU KUWA HATA SIKU MOJA YEYE HUWA HAIFUNGI SIMBA NA NDIO SABABU KAWAKOSESHA USHINDI KIPINDI CHA KWANZA
KIPINDI CHA KWANZA KWANI YANGA WALIONEKANA KUWAWINI VIZURI SIMBA TATIZO LIKAWA NI UMALIZIAJI WAO MBOVU TU
MASHABIKI WA SIMBA WALIOJITOKEZA UWANJANI TAIFA KUSHUHUDIA TIMU YAO IKIIFUNGA YANGA
MASHABIKI WA YANGA HAWAKUJITOKEZA KAMA KAWAIDA YAO UNAWEZA SEMA WALIJUA NINI KITATOKEA
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WAMEMBEBA KOCHA WAO JUU JUU BAADA YA MPIRA KWISHA
EMANUEL OKWI AKIVAA MEDALI YAKE BAADA YA SIMBA KUWA MABINGWA WAPYA WA TANZANIA BARA
JAMA KASEJA NAHODHA WA TIMU YA SIMBA AKIKABIDHIWA KOMBE NA WAZIRI MPYA WA HABARI VIJANA NA MICHEZO DK FENELA MKANGALA
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WANASHANGILIA BAADA YA KUKABIDHIWA KOME LAO
WACHEZAJI WA SIMBA WAKIWA WAMEONYESHA ISHARA YA TANO DHIDI YA WATANI ZAO YANGA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA