Jana timu ya Liverpool ililipa kisasa cha kufungwa na Chelsea kataka fainali ya FA.
Baada ya kuitandika Chelsea goli 4-0 huku ikionekana kushambulia kwa kasi sana na kujiami tofauti na siku ilipocheza fainali.
Alikuwa ni Luis Suarez aliefungua milango ya magoli kwa upande wa LIVERPOOL


Luis Suarez akifanya vitu vyake jana

Daniel Agger ikiwa ameinama kushuhudia kichwa alichopiga kikitinga nyavuni

Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Daniel Agger baada ya kufunga goli

Stewart Downing akimchambua kipa kwa penati safi sana

Ramires akifunga goli la kufutia machozi kwa Chelsea

Jonjo Shelvey seals Liverpool's win

Steven Gerrard alikuwa akishuhudia timu yake ikitoa kipigo kwa Chelsea
star wa mchezo alikuwa LUIS SUAREZ
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA