Jun 18, 2013

BREAKING NEWS: MOTO WAZUA KIZAA ZAA KARIAKOO JIJINI DARMoto ukiunguza paa la baa hiyo.

Zimamoto wakiwa kazini.
Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.
Tanesco wakikata umeme.
Hali ikiwa tete.

 Shoti ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.
 
 Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.

Chanzo  http://www.globalpublishers.info/ 

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA