Jun 13, 2013

JUMA NATURE PROFESA J SUGU WAKAZI GRACE MATATA HAMZA KALALA KUPAMBA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE

KESHO NDIO SIKU AMBAYO SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE ITAFANYIKA NYUMBANI LOUNGE.

WASANI HAO NI JUMA NATURE PROFESA J MH: SUGU WAKAZI GRACE MATATA HAMZA KALALA.

NA TAYARI WASANII WAKUBWA NA WALIO NA MAJINA MAKUBWA HAPA NCHINI WANATADHAMIWA KUMSINDIKIZA MWANADADA JD KATIKA SHOW HIYO.

MPAKA SASA TIKETI ZA VIP ZA SHOW HIYO ZIMEKWISHA NA ZIMEBAKI ZA 20,000 TU. 
MAMA MWENYE SHAGHULI HAPO KESHO


LADY JAYDEE  KATIKA AKIWA KATIKA ISHARA YA ANACONDA

 JUMA NATURE AKIWA KATIKA MOJA YA SHOW ZAKE ATAFANYA MAKAMUZI KATIKA MIAKA 13 YA JD 
UNAWEZA KUMWITA MWANA MAPINDUZI WA BONGO FLEVA PROFESA J ATAKUWEPO PIA
 PROFESA KAZINI
 MHESHIMIWA SUNGU NAE ATAKUWEPO KUMSAPOTI JAYDEE
 WAKAZI NAE PIA ATAKUWEPO KATIKA KUMSAPOTI  JD SIKU YA KESHO
NATURE KATIKA POZI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA