Jun 17, 2013

MACHANGUDOA WANAOFANYA BIASHARA YAO SINZA WAKAMATWA


MACHANGUDOA WANAOFANYA BIASHARA YAO SINZA WAKAMATWAMgambo wa jiji la Dar es Salaam wakiwa katika zoezi la kuwakamata Madada wanaofanya biashara ya kuuza miili yao wajulikanao kama Machangudoa katika eneo la Sinza. Picha mbalimbali zikionyesha namna walivyokuwa wakipakiwa ndani ya Gari tayari kwa kupelekwa katika vyombo vya sheria

habari na picha  kwa niaba ya  ya http://www.udakuspecially.com

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA