Oriflame
kushirikiana na Lady JayDee tumefanikiwa kutoa mchango wa kununulia
madawati shule ya msingi Bugoyi ilioko mkoani Shinyanga.
Awamu nyingine ya pili nitaitoa mimi binafsi mwezi January, 2015.
Kwaajili ya ujenzi wa vyoo na nyongeza ya madawati. .
Mungu Ibariki Tanzania.
Ni mimi mtumishi wenu
JIDE
Awamu nyingine ya pili nitaitoa mimi binafsi mwezi January, 2015.
Kwaajili ya ujenzi wa vyoo na nyongeza ya madawati. .
Mungu Ibariki Tanzania.
Ni mimi mtumishi wenu
JIDE
huu ni mfano wa cheki ya kiasi walichotoa
Tunapenda kumpongeza Lady JayDee na tunamtaka kuendelea na moyo huu huu wa kuwakumbuka wanafunzi
Pia wanamuziki wengine sio mbaya kuiga mfano huu sio kushindana kuzungusha tu kwenye meza
hongera sana Jide
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA