Jul 26, 2013

HUU NDIO MKOKO AMBAO MCHEKESHAJI BASKETMOUTH KAMPA ZAWADI YA SIKU YA KUZALIWA MKE


 


 

Mchekeshaji, ambaye pia mmoja wa watumbuizaji inchini Nigeria BASKETMOUTH , kamnunulia mke wake Honda Crosstour ya 2013  kama zawadi yake ya siku ya kuzaliwa. Elsie Uzoma Okpocha aliezaliwa Julai 14.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA