Jul 15, 2013

MAZISHI YA MAMA YAKE PROFESA JAY YALIVYO KUWA


 MCHUNGAJI AKISOMA IBADA
 MH: MNYIKA NAE ALIKWENDA KUMPA POLE PROFESA J
 MWILI WA MAREHEMU UKIPELEKWA MAKABURINI




WAOMBELEZAJI MBALI MBALI WAKIWAFARIJI WAFIWA
 PROFESA JAY AKIWEKA MCHANGA KATIKA KABURI
 JUMA NATURE AKIWEKA SHADA KATIKA KABURI
 PROFESA JAY AKIWEKA SHDA LA MAUA
 MAKINI AKIMPA POLE PROFESA JAY
 STIVE NYERERE AKIMPA POLE PROFESA JAY

JENEZA LIKISHUSHWA KABURINI

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA