Habari mbaya na zenye kusikitisha ambazo
mtandao huu umezipata kutoka mkoani morogoro asubuhi hii ni kuwa
mtangazaji mkongwe hapa nchini Julius Nyaisanga maarufu kama "Uncle J"
(pichani) amefariki dunia
Kwa mujibu wa chanzo chetu taarifa za kifo chake zimezagaa asubuhi hii na
Hadi Julius Nyaisanga anafariki dunia
alikuwa meneja wa kituo cha redio Abood FM cha mjini Morogoro, na
alijulikana sana tangu akifanya kazi Redio Tanzania sasa hivi
inajulikana kama TBC Taifa na Redio One stereo
CHANZO NA http://kandorodaddycool.blogspot.com
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA