Oct 20, 2013

TAZAMA HALI ILIVYO TAIFA KABLA YA MECHI YA WATANI WA JADI BONGO

 PILIKA PILIKA ZIKIWA ZIMEPAMBA MOTO
 HATA MASHABIKI WA MBEYA CITY NAO WAPO PIA LEO
 MASHABIKI WA SIMBA WAKIINGIA KWA MBWEMBWE
 ULINZI PIA UMEIMARISHWA
 WATU NI WENGI MCHANA HUU
 POLISI WA FARASI NAO WAPO KIBAO


 MASHABIKI WA YANGA NAO WAKIINGIA KWA MBWE MBWE

 WEWE UNAOGOPA KUVAA JEZI JE UTAWEZA KUWA KAMA HUYU JAMAA
 SEHEMU YA UMATI
 WOTE HAWA HAWANA TIKETI

 JAMAA NAO WAMEKUJA PIA









MASHABIKI WAKIELEKEA TAIFA

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA