Oct 9, 2013

I REAL LOVE MY PENNY,SINA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA WEMA ASEMA DIAMONDKumekuwa na Uvumi na Habari nyingi sana 
Mitandaoni na Kwenye Media tofauti... kwamba mimi na Mwanadada
 Wema Sepetu tuna mahusiano ya Kimapenzi, kitu
 ambacho Sikweli na taarifa hizo ni za uongo.. uvumi huu ulianza kisa tu 
yeye kucomment kwenye Account yangu ya Instagram?.. 

 
 Hebu tujifunze kubadilika, inamaana watu mkiwa hamko
 kimahusiano ya Mapenzi basi msizungumze ama Kushiriki kwa chochote? 
Futeni huo uzamani na Mbadilike, inamaana 
Mnapenda kuona watu wanauadui... nimuda
 wa kufanya kazi ili Kulipa sifa na heshima Taifa la Tanzania
 na si kuekeana chuki zisizo nanfaida..
I REAL LOVE MY PENNY,SIJARUDIANA NA WEMA.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA