Sanaa yetu ya muziki imekuwa rahisi kwa kiasi kikubwa sasa kwenye kutoka kwa msanii na kukubalika!!!(MIFANO TUNAYO)
Wanaosikika saaaana ktk media na kuonekana kufanya vizuri wengi wao ndio huoekana kufanya vema ktk GAME, hivo basi hata wale wanaowasikiliza hawa wanaoonekana wakali...watawaiga hawa!!
Sasa hivi imekuwa m-bibi/m-babu/msela/mtoto/mdada...yoyote yule anaweza akaja na ka-IDEA chake ka nyimbo ya ajabu ajabu tu na akapewa nafasi kubwa ktk media hadi raia wakamuelewa na akaonekana msanii...
FINALLY mtu huyo akiwa hata ktk tour bus na wasanii HASWAAA wenye muziki wao naye hujisahau na kujiona keshakuwa msanii kama wao, na pengine anaweza hata akawadharau!!
its ok lakini si ametafta ajira bana, na ajira ni za tabu na az long inamlipa fresh!!!
KWANI WEWE HAIKUBOI KUSIKILIZA RADIO NA KUKUTA INAPEWA PROMO NGOMA FLANI YA AJABU NA ISIYO NA HADHI HATA KIDOGO aaaf zipo ngoma kali hata hazipigwi!! na zikipigwa haziongelewi(PROMO)!!!
Lakini baadaye wasanii hao hao waliotokea kitaani na kutest ngoma moja hiyo ya ajabu na kutoka ndio GAME ITAWALIPA na show zao zitajaza na watasham
ngiliwa saana NA NINYI MASHABIKI!!!
SASA JE TATIZO NI LA NANI?
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA