Ajali ya Lori na NOAH yaua 13 Singida
Imetokea ajali mbaya huko Singida ambapo gari aina ya NOAH na Lori la
mizigo yamegongana uso kwa uso na kisha gari hiyo aina ya NOAH kuingia
chini ya uvungu wa Lori na kusababisha vifo vya watu hao 13 ambao wote
walifia katika eneo la ajali.
Taarifa inasema gari aina ya NOAH ilikuwa imebeba abiria kutoka Itigi wakielekea Singida Mjini.
Dereva na utingo wa Lori walikimbia baada ya ajali hiyo kutokea.

chanzo na jamii forums
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA