Chief Kiumbe asema gari alilompa Diamond amelinunua zaidi ya shilingi milioni 245.
Kumekuwa na maneno mengi sana kwenye mitandao kuhusu gari hili jipya la
Diamond,sasa leo asubuhi baada ya kumkaa niliweze kusikiliza interview
ya mfanya biashara 'Chief Kiumbe' alifunguka na kusema kwamba gari
analomiliki msanii wa bongo fleva 'Diamond' ni la kwake.
Huu ndio ujumbe wake Chief Kiumbe.
'Unajua mimi uwa sio mtu wa kuzungumza sana ila ukweli ni kwamba
wasanii wengi wa hapa bongo wanatembelea magari yangu,na wala hawatoi
hela yoyote,kwa mfano Diamond anamiliki gari yangu mpya ambalo nilinunua
zaidi ya shilingi milioni 245 kipindi niko nje kiziara,nafanya hivi
kwasababu ya upendo na pia wapo wasanii wengi tu, kuna wengine
wanajitamba kwamba wamenunua ila sio kweli mimi ndio ninawapa bureee
watembele hizo habari za kwamba wananunua hakuna kitu kama hicho,mimi
napenda watu wafuate nyayo za Diamond naamini watafanikisha ndoto
zao'Alisema Kiumbe.
CHANZO NA BOFYA HAPA
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA