Jana mida ya jioni nilitembelea
ukumbi na stage ,nitakapofanyia show..
kikubwa was kuweka mambo sawa,sounding
na mambo mengine kama hayo lakini pia nilfanya
REHEARSAL kidogo..nikiwa na vijana wangu wa
WCB,kuhakikisha kila kitu usiku wa leo kinaenda sawia
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA