Apr 29, 2014

Basi la Hood lateketea kabisa kwa moto.



Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani.

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA