











Mbeya City FC yaingia Mkataba wa Udhamini na Kampuni ya Binslum Tyres CO. Ltd.. Mkataba huo ni wa Miaka Miwili wenye Thamani ya Tsh. Milioni 360.!! Mkataba umeanza Rasmi sasa., Kiasi hicho kitatolewa kila Mwezi kulingana na Makubaliano waliojiwekea.!
0 Weka maoni yako hapa:
Post a Comment
COMMENT HAPA