Habari zilizotufikia hivi punde zinasema aliyekuwa mchezaji wa timu ya Simba Spoti Club Patrick Mafisango amefariki dunia leo alfajili kwa ajari ya gari iliyotokea maeneo ya Tazara blog yenu ya Bongo Yetu inaendelea kufuatilia vizuri habari hizi na muda si mrefu mtazipata kwa undani
Pia blog yetu inatoa pole kwa ndugu jamaa na marafiki viongozi wachezaji na mashabiki wa Simba Spoti Club
Mungu ailaze mahari pema roho ya marehemu amina
Chini ni Patrick Mafisango enzi za uhai
1 Weka maoni yako hapa:
MHSRIP
Post a Comment
COMMENT HAPA