Jun 18, 2013

ARUSHA HALI NI TETE



 Gari hizi za Polisi zikipita mbele ya Ofisi ya Wilaya ya Cuf , inasemekana kwenye Gari hili yupo Mh Lema. Na Gari hii ndogo inasemekana niHaro ya Tundu Lisu akijaribu Kujiokoa ili Asiingie kwenye Mikono ya Polisi.



HAPA NI MOSHI MZITO UNATOKANA NA MABOMU YA MACHOZI

PICHA KWA NIABA YA Abdul Kam

0 Weka maoni yako hapa:

Post a Comment

COMMENT HAPA