Aug 26, 2013

UNYAMA HUU MPAKA LINI


KIJANA HUYU INASEMEKANA AMECHOMWA MOTO BAADA YA KUKWAPUA GUNIA LA MKAA HUKO MBAGARA CHARAMBE
HIVI KWELI WATU WAMEKOSA KABISA UBINAADAMU KIASI HIKI